PakistanMiaka 2 iliyopita
Mshairi kwa ajili ya watu: Kitabu cha Binti kuhusu Faiz Ahmed Faiz chazinduliwa mjini Brussels
Kitabu kinachotegemea barua ambazo mshairi maarufu wa Pakistani Faiz Ahmed Faiz alituma kwa bintiye kimezinduliwa mjini Brussels. Mazungumzo ya Moneeza Hashmi (pichani)...